babu wambura na juma mtetwa wa ulimwengu wa filamu tanzania
ulimwengu wa filamu unakutasha jukwaa la vijana tanzania nzima na kuangalia changamoto zilizopo juu ya masuala ya ukuzaji filamu nchini tanzania jinsi gani vijana wanaweza kuibua vipaji vyao katika filamu.