ANIMATION


web stats

BONGO MOVIES

BONGO MOVIES

TANAPA

TANGAZO LA COMPUTER

TANGAZO LA COMPUTER

AIRTEL

MSANII MWINGINE WA BONGO MOVIE RACHEL HAULE AARIKI DUNIA USIKU WA KUAMKIA LEO





 rachel enzi za uhai wake akiwa katupia pozi la harusi



Msanii wa Bongo Movie, Rachel Haule 'Recho' (pichani), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es slaaam. Habari zilizotua mtandaoni kwetu na kuthibitishwa na Mwenyekiti wa Bongo Movie, Steve Nyerere, zimesema kuwa Recho alikwenda Muhimbili jana kujifungua ambapo mara baada ya kujifungua mtoto alifariki na yeye hali yake kuwa mbaya, ilibidi ahamishiwe ICU ambako hali ilizidi kuwa mbaya na baadae kufariki dunia.

Kifo cha Recho kimekuja ndani ya wiki moja baada ya kufariki kwa msanii mwingine wa Bongo Movi Adam Kuambiana Jumamosi iliyopita, kifo hiki kimeleta mstuko mkubwa kwenye tasnia ya ya filamu za kibongo. Habari na picha zaidi zitawajia baadae
.
  HABARI NA WAMBURA BABU BLOG