ANIMATION


web stats

BONGO MOVIES

BONGO MOVIES

TANAPA

TANGAZO LA COMPUTER

TANGAZO LA COMPUTER

AIRTEL

SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI LIJULIKANALO KAMA TANZANIA MOVIE TALENTS LAENDELEA VYEMA SIKU YA LEO

 Baadhi ya vijana waliofika leo kwaajili ya kushiriki katika shindano la kusaka vipaji vya uigizaji Tanzania

 Mmoja wa washiriki waliofika kwaajili ya kuonyesha vipaji akiwa mbele ya meza ya majaji akionyesha uwezo wake wa Kuigiza wakati wa mashindano ya Kuonyesha Kipaji cha kuigiza




 Mmoja wa kijana mwenye umri mdogo kabisa akivalishwa namba kwaajili ya kushiriki kwenye shindano la kusaka vipaji vya uigizaji Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents ambapo kwa siku ya leo limefunga sehemu ya usaili

 Meza kuu full kucheka

Majaji wa mashindano ya kusaka vipaji vya kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents wakiwa makini kutazama kipaji kilichokuwa kikionyeshwa na mmoja wa washiriki (hayupo pichani) wakati alipofika kuonyesha kipaji chake, Kushoto ni Jaji Mkuu Roy Sarungi, akifuatiwa na Ivon Chery (Monalisa) na Single Mtambalike (Rich Rich)