PICHA NA www.wamburababu.blogspot.com
BONGO YETU
HUYU NDIO SHILOLE BANAAA WEEEE HAPANA CHEZEA CHEKI PICHA ZAKE !!!!!!
PICHA NA www.wamburababu.blogspot.com
SIMBA SC YATOA TAMKO
Michael Richard Wambura.
Kamati ya Uchaguzi ya Simba SC imesema uchaguzi wa klabu hiyo utaendelea kama ulivyopangwa kufanyika Juni 29 mwaka huu. Kamati hiyo pia imesema imemuondoa Michael Richard Wambura kwenye mchakato wa kugombea uchaguzi huo.

DAKIKA 90 ZA UFUNGUZI COROATIA YALA KICHAPO CHA GOLI 3- I KUTOKA KWA BAZIL
wenyeji wa kombe la dunia brazil wameibuka kidedea dhiti ya wapinzani wao coroatia baada ya kuichapa goli tatu wakati coroatia wakiwa na 1ndani ya dakika 90
"Nikifa sitaki kusifiwa" - Riyama Ali, akerwa na tabia ya wasanii kuleta maigizo kwenye misiba
RIYAMA Ali mwigizaji wa kike asiye na kashifa katika tasnia ya filamu Bongo, amefunguka kwa kusema kuwa kama kuna msanii mwenzake au mtu mwenye mapenzi naye angependa kama ana sifa kuhusu yeye katika umahiri wa kuigiza na mengineyo basi atumie nafasi hiyo akiwa hai, haitaji kusifiwa akifariki kwani anaamini kuwa sifa hizo hatasikia.
“Nasema mapema kabisa sitaki kusifiwa nikifa, sifa mtu uipate ukiwa hai kama ni faida au kufurahia mwenyewe ujionee lakini nimeshafumba macho kuna faida gani, sisikii sioni haya ya nini kwangu miye?,”anasema Riyama.
Msanii huyo amesema kuwa imekuwa tabia kwa baadhi ya wasanii kuleta maigizo katika misiba ya wasanii inapotokea mara nyingi waonapo televisheni ujipanga kwa ajili ya kuhojiwa na waandishi basi hata kama marehemu alikuwa na ugomvi naye basi atajifanya jana kabla ya umauti walikuwa wote na kumwachia usia kama rafiki.

TASWIRA ZA UZINDUZI WA REDIO YA EFm MWEMBE-YANGA, TEMEKE
Pnc
umati wa watu
shilole na wadada wake wakidansi
ommy D
inspekta babu
picha na GLOBAL NEWS
MSANII MWINGINE WA BONGO MOVIE RACHEL HAULE AARIKI DUNIA USIKU WA KUAMKIA LEO
rachel enzi za uhai wake akiwa katupia pozi la harusi
Msanii wa Bongo Movie, Rachel Haule 'Recho' (pichani), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es slaaam. Habari zilizotua mtandaoni kwetu na kuthibitishwa na Mwenyekiti wa Bongo Movie, Steve Nyerere, zimesema kuwa Recho alikwenda Muhimbili jana kujifungua ambapo mara baada ya kujifungua mtoto alifariki na yeye hali yake kuwa mbaya, ilibidi ahamishiwe ICU ambako hali ilizidi kuwa mbaya na baadae kufariki dunia.
Kifo cha Recho kimekuja ndani ya wiki moja baada ya kufariki kwa msanii mwingine wa Bongo Movi Adam Kuambiana Jumamosi iliyopita, kifo hiki kimeleta mstuko mkubwa kwenye tasnia ya ya filamu za kibongo. Habari na picha zaidi zitawajia baadae
.
HABARI NA WAMBURA BABU BLOG
Subscribe to:
Posts (Atom)